Unapaswa kufanya nini ukiugua au ukiwa na maswali kuhusu afya yako?
Jifahamishe kuhusu magonjwa makubwa ya kuambukiza, kuhusu ujauzito na dhiki ya kiakili. Utapokea maelezo kuhusu nani atakayekusaidia unapokugua na unachoweza kufanya ili kuboresha afya yako.