Katika tovuti hii, mamlaka ya afya ya Uswisi (FOPH) imetoa maelezo kuhusu magonjwa ya kuambukiza na jinsi ya kujilinda dhidi yake. Maelezo kuhusu jinsi ya kupata huduma za matibabu pia yametolewa.
Tovuti hii iliundwa ili iwe chanzo cha maelezo kwa wanaotafuta kimbilio katika vituo vya mapokezi na taratibu na katika vituo vya wakimbizi vya kata ndogo. Lengo kuu ni kushughulikia magonjwa ya kuambukiza ili kulinda watafuta kimbiliop na watu wengine dhidi ya maambukizi, na kudumisha afya ya umma.
Mchapishaji wa tovuti hii:
Ofisi ya Shirikisho ya Afya ya Umma, FOPH
Mamlaka ya Afya ya Umma
Idara ya Magonjwa ya Zinaa
Schwarzenburgstrasse 157
3003 Bern
Kufikia: Januari 2018